Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mmoja wa jamaa aliponiona nikimkodolea “mdada” akatania:
“Unaona toto la Kirusi hilo?”
Nikauliza nani huyo.
“Mke wa bosi wetu.”
Nani Jose Mourinho? Mbona mke wake Mourinho hayuko vile, umri wake mkubwa zaidi?
“Ah wapi. Mwenye noti. Roman Abramovich mwenyewe!”
“Unaona toto la Kirusi hilo?”
Nikauliza nani huyo.
“Mke wa bosi wetu.”
Nani Jose Mourinho? Mbona mke wake Mourinho hayuko vile, umri wake mkubwa zaidi?
“Ah wapi. Mwenye noti. Roman Abramovich mwenyewe!”