mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
River Kagera
Mwanadamu anahangaishwa na dunia, na duniani hana maisha marefu, ni siku chache tu atakazoishi lakini ameghafirika. mwanadamu hataki kuhangaishwa na makazi ya milele. Hataki, anajisahaulishaMwanadamu mbona una mahangaiko mengi?
HahahaahHuyo nishamzoea kwa kukasirikia mpira,sema mkifungwa KK hataonekana humu na mkishinda yani leo hatutapumua[emoji23][emoji23][emoji23]
Gonga likes na pia tukumbuke tutaondoka kuelekea kwenye nyuma ya mileleMwanadamu mbona una mahangaiko mengi?