Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hakuna mwanasiasa mzalendoHivi tunaweza kumwita TL ni mzalendo kweli
Hakuna mwanasiasa mzalendoHivi tunaweza kumwita TL ni mzalendo kweli
ikiwa nafanya mambo kwa manufaa ya woteHivi tunaweza kumwita TL ni mzalendo kweli
Wapo mpiraniWadau mko wapi leo?[emoji22][emoji22][emoji22]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] 100%Hakuna mwanasiasa mzalendo
Wanasiasa wanafanya mambo kwa manufaa yao tuikiwa nafanya mambo kwa manufaa ya wote
Daaah!acha nikazurure tu humu kumepoaWapo mpirani
wanasiasa wazalendo wanabigwa kibuti' hawafiki mbali..Wanasiasa wanafanya mambo kwa manufaa yao tu
Mwanadamu ni mwenye pupa ya kupapia dunia, hatosheki, haridhiki mpaka mauti yamkuteMwanadamu mbona una mahangaiko mengi?