Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3622.JPG
 
Hii ni shida kwa kweli. Unamuanza mtu lengo lako likiwa ni kugegeda tu halafu yeye anakufa anakuzimikia.

Likewise demu anakutega unaingia jumla kumbe yeye anataka pesa tu na kusaidiwa. Unasomesha unajitolea weee mwisho wa siku huyooo anakwenda zake !!!
Maisha ndiyo yalivyo mkuu kupata uhakika na kitu 100% ni shida sana
 
Back
Top Bottom