Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Chapa kazi kwa kutoa likes uone gharika ya likes itakavyokuzunguka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha wanger hajawahi muacha mtu salama
Sana tuChapa kazi kwa kutoa likes uone gharika ya likes itakavyokuzunguka
Nasikiaga huwa na yeye anabet timu yake kufungwa so siku akiweka mzigo mjue kabisa mmeumia siku hiyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata Jakitoo vp mzee wa Liver?Habari za Jumapili jakitoo
Huyu babu miaka ya 90 mwishoni mpk 2000 mwanzoni alitupa raha sana,ila kuanzia 2008 mpaka leo story ndiyo zile zileNasikiaga huwa na yeye anabet timu yake kufungwa so siku akiweka mzigo mjue kabisa mmeumia siku hiyo.
Hayana mwalimu/ mwanafunzi
Mapenzi yaache kama yalivyoHayana mwalimu/ mwanafunzi