Shuka chini sasa
utarudi kuangalia tu kitu kinavyotrend halafu utapigwa na like
Atakuwa ISISNasikia watu wanaloweka miguu kwenye maji kisa likes
ftar kwangu karibun nyote![]()
[emoji6] [emoji6]Hahaha! Umeona eeeh...
HahahahaUsiogope pacha nipo nyuma yako nimeshika bashite mkononi kumtengua mtu
Sasa mbona watu wote like ni tano tu kwahiyo wanaochati humu hawazidi watano
Wenger aenda kibiti kusaka washambuliaji watakaotumia mitutu ya Arsenal
Tena maji ya vuguvuguNasikia watu wanaloweka miguu kwenye maji kisa likes
Kuna siki huu uzi utakosa watumiaji kama wote tutakufa
Eti ebitoke anampenda ben paul mpakwa mafuta
Mpe likeKula like
Mpe like
Demigod!
Tena maji ya vuguvugu
I love this