mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Raha sanaRaha raha
Raha sanaRaha raha
Naona unanibeepThanks babe Shemigod
Mwezi wa haki huu jamani, kula jioni
karibun ftar kwangu leo![]()
Jamii forum kununua Facebook kwa jiti tano
KARUDI BABA MMOJA .......TOKA SAFARI YA MBALI
KAVIMBA YOTE MAPAJA....NA KUTETEMEKA MWILI
WATOTO WAKE WAKAJA ...ILI KUMTAKA HALI
WAKATAKA NA KAULI... IWAFAE MAISHANI
Hahaha! Umeona eeeh...Babe S bora ungemchagulia nyeusi.....awe CID wa makenikia
Kama unahitaji makinikia ya simba dume kwa ajili ya kuongeza nguvu za kike na kiume, Tafadhali tuwasiliane pm.
Noah ya ISIS rangi ganiNoah ya babe S ni Nyeupe
Ha ha haBabe S bora ungemchagulia nyeusi.....awe CID wa makenikia
Nawe ni kichwa ngumu, humu ni likes tu, unatafuta nini?
Hahah ngoj nikachungulie
HahahahaHuu uzi huu utafanya watu tuwe machizi
Nataka dem nimuhonge likes maana ninazo za kutosha kama sado tatu hv
Mpaka muda huu sijapata jibu
ftar kwangu leo![]()
Kula likewatu wanakula like
Nafunga comment kwenye thread hii.
Nimekutumia