Kabisa usipotemea ndio mambo yanakuwaKwa ile speed ya tot hakuna usalama kwa Chelsea japo mpira una mengi
Hata kama unajua mengine unakuwa cool kujua zaidiNi heri kujifunza mengi kuliko kujua kila kitu.
Mchina Leo sikuelewi kabisa
Ina protein nyingi sana
Wa mchanganiArsenal
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mvumilie tu
Mvumilivu hula mbivu lakini ukivumilia sana zinaweza kuoza
Shimba na andjul mkuje huku naona kuna mtu anawabeep[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]