mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Well said broSwali la kifalsafa hili. Afike rafiki mmoja au milioni kwenye mazishi yangu kwa kweli kwangu haijalishi. I am dead...Uzikwe na dunia nzima kama Mandela au uzikwe na wanakijiji wasiozidi 50 kama omba omba mashuhuri Mzee Matonya sidhani kama wewe marehemu inakusaidia sana. Cha muhimu ni kumtegemea Mungu ili hata ukifia kwenye ajali majini na maiti yako isionekane tena uende kwa amani huko uendako. Zingine zote hizi ni mbwembwe za walimwengu tu. Ni maoni yangu tu lakini [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mamia walipotea na MV bukoba
Zaidi ya kwenda eneo la tukio na kutupia maua