Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

19624545_1469573643109992_5873071381586903040_n.jpg
 
Ndugu zangu nawaombeni msaada maana kuna rafiki yangu anakesi kali sana kwa mkewe na anaomba eti niwe shahidi yake. Ila nina wasiwasi yaliyomkuta nikiyatetea yatavunja ndoa yangu ambayo ni miaka mingi. Ukija mtaani kwangu uliza mtu yoyote atakuambia kuwa mimi ni mtu mtaratibu, nampenda mke wangu na haya mambo sijui ya kuchepuka, mimi sina kabisaaaa.
 
Kifupi mimi ni mfano mzuri kwa ndoa za siku hizi. Sasa kilichomtokea rafiki yangu nikikikubali kitatishia kuvunja misingi imara ya ndoa yangu niliyojenga siku nyingi.
Hii mvua inayoishia ndio chanzo cha tatizo. Yaani nimechanginyikiwa kwa kweli. Kwa kadri ya maelezo ya rafiki yangu, eti siku nne zilizopita alitoka kwake na kuelekea dukani maana
 
Back
Top Bottom