Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema kamanda wa pwani. Niliwahi kupata kamalaika ka Kizaramo aisee kaliniendesha vibaya sana. Ila kalikuwa kazuri kwa kweli. Mpaka leo nakakumbuka ka Ashura kangu !!!
Kalikuendesha? Alikupikia supu ya pweza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom