Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-20-18-08-32.png
 
Katika maeneo ya mijini ni jambo la kawaida kukutana na waganga wa aina hii wenye kudai kuwa wana uwezo wa kutibu jino bila kung’oa, kuthibiti harufu mbaya ya kinywa na fizi kutoa damu. Si mijini tu hata vijijini waganga hawa wapo.

Wengine wamekuwa wakijitangaza kupitia vyombo mbalimbali vya habari na kutokana na kukua kwa
 
teknolojia na utandawazi matangazo yao yamewavuta wengi na wengi wametumia dawa hizo na baadhi kusifu kuwa zimewasaidia wamepona. “Nusura ning’oe jino, lakini nilipotumia dawa suala la kung’oa likaisha.” Baadhi husikika wakisifu.

Je kuna ambaye aliwahi kujiuliza kama kweli dawa hizo zinatibu na hazina madhara kwa watumiaji?
 
Back
Top Bottom