Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
M609
Hahahahahastress ni pale unapokakuta kabwana mdogo ambacho hakajaenda hata shule kana maela mpaka anaumwa, halafu wewe na masters yako unapuyanga tu mwaka wa nne sasa*
*Stress zaidi ni pale unapokumbuka ulimwambiaga; dogo zingatia shule utakufa masikini*
Aisee usifukue makaburiDk ya 89 che 2 Tot 1
It makes me shine EverydayIs like a sun[emoji445][emoji445][emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukishamcopy na kum-paste kitandani matokeo yake ni nini? CHAWAPUTA membership?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku moja kabla ya harusi yako, Bakhresa anakuomba uachane na hiyo harusi ili ufunge ndoa na mtoto wake. Amekuahidi kukupa Bilioni 500 taslimu za kitanzania; UTAFANYAJE?????
Mimi nitakubali sio kwamba napenda sana hela ila kwa sababu napenda kuheshimu wazee tu!!
Kwa kila postLikes kwa likes