Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu dogo wa Cloud360 hana upeo kabisa jinsi anavojadili issue ya bombardier anatia kichefuchefu,kuna haja apimwe mkojo, Baby kabaya anamuweka sawa ila dogo yuko biased sana na yaelekea ana chuki binafsi na Lisu. baby kabaya keep it up,una busara na upeo kuliko hao wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamishia jukwaa la siasa hii mkuu. Hapa hutapata wachangiaji. Kula likes tu stress free...
 
4b4834927ce787a350e2959670825047.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom