Mambo yakibumburuka hasa wakiwa wanagombania jike au himaya yes wanararuana na kuuana ila sijui kama wanakulana...Hivi hawa simba huwa wanakulana wao kwa wao?
Wanaume wa Dar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mtakula supu ya pweza na milonge mpaka mkome !!!
Leo kauvaa mkenge. Na inavyoonekana wote hawa wataRIP tu...Nature !!!Shimba ya BUYENZE anateseka. Amelazimika kusimama kwa miguu miwili.
Sent using Jamii Forums mobile app