Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona kama kuna sekeseke fulani leo hapa dukani [emoji23][emoji23][emoji23]
1a3a927c78efcc78264deb346fda2ca5.jpg
 
Vyanzo vingine vya upoteaji wa madini chuma mwilini ni kupotea kwa damu muda mrefu na kidogo kidogo wakati wa hedhi isiyo na mpangilio, saratani ya mji wa kizazi, malaria sugu, kichocho, bawasili (haemorrhoid), kuharisha damu na vidonda vya tumbo. Mimba za mara kwa mara na kunyonyesha pia hupoteza madini ya chuma mwilini.
 
Back
Top Bottom