Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hamishia jukwaa la siasa hii mkuu. Hapa hutapata wachangiaji. Kula likes tu stress free...Huyu dogo wa Cloud360 hana upeo kabisa jinsi anavojadili issue ya bombardier anatia kichefuchefu,kuna haja apimwe mkojo, Baby kabaya anamuweka sawa ila dogo yuko biased sana na yaelekea ana chuki binafsi na Lisu. baby kabaya keep it up,una busara na upeo kuliko hao wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Leo kauvaa mkenge. Na inavyoonekana wote hawa wataRIP tu...Nature !!!
Tupo muhenga mwenzetu
Nimpate asubuhi hii, siendi kazini[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]