Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nikafunga mlango nikarudi chumbani kwangu nikalala. Asubuhi nilimuuliza maswali mengi Mage hakuwa anakumbuka chochote kilichotokea usiku ile.

Nilichokifanya ni kubadilisha kitasa na baadaye sanà wazazi wakamchukua.

Maskini mwanamziki huyo ana tatizo kama Mage.

Mage atakuwa mama kwa sasa. Ni zaidi ya miaka 30 imepita.

Kweli binadamu ana mambo mengi yanayomsibu mengine majibu yake ni kitendawili.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…