Haya wale wanaopenda ngozi zao za mwilini zisijikunje hata wakiwa watu wazima wadumu kula tunda hili kila siku katika maisha yao basi ngozi za mwili wao hazitajikunja hata usoni watakuwa kila siku vijana hata wakiwa wazee
Fenesi ni tunda la msimu lenye umbo la kipekee na ladha tamu ya aina yake, licha ya kuwa na utamu wa kipekee lakini tunda hili limeonekana kuwa na faida katika mwili wa binadamu.
Tunda hili linatajwa kuwa na faida kadha wa kadha katika mwili wa binadamu ikiwemo virutubisho vya aina mbalimbali kama protini, vitamin, mafuta, wanga pamoja na nyuzinyuzi.
Uwepo wa kuondoa sumu katika tunda hili ni kusaidia kuona, tunda hili pia linatajwa kuwa na wingi wa potassium yanayosaidia kuimarisha mifupa na afya ya ngozi.
Fenesi ni tunda salama kiafya kwa sababu lina wanga na kalori na pia husaidia mmeng’enyo wa chakula pamoja na kuuikinga mwili dhidi ya magonjwa ya moyo.