Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtema kuni ni hatari,
Ukitekwa asubuhi unanawa maji yalowekwa pilipili,
Unakunywa maji yenye pilipili,
Mchuzi una pilipili nyingi sana,
Maziwa yana pilipili!
Unaoga maji ya pilipili!

Nilitekwa na binti mmoja ilikuwa hatari,
Mashuka yaliwekwa pilipili,
Uzuri tulipewa chumba chetu wawili tu.



Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]hongera basi kama ulitekewa chumbani[emoji12][emoji12]
 
Screenshot_2017-08-21-18-07-36.png
 
Back
Top Bottom