Fenesi limejaa ufumweli au fibre, sifa inayosaidia kulainisha choo.
Tunda hili lina virutubisho kadha wa kadha vyenye faida kubwa mwilini. Baadhi ya virutubisho hivyo ni vitamini A, C, B complex, vitamin B6, folic acid, niacin, riboflavin na madini za aina mbalimbali kama vile potassium, magenesium, manganese na chuma.