mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaKuna jamaa alisema eti anaamini anamzidi Bill Gates mashine. Wabongo noma !!!
HahahahaCarba, tafuta timu ya kushabikia na wewe shemeji. Mimi Bob12 amenikonvisi kabisa mpaka nimekuwa shabiki halisi wa Aseno. Ni raha sana shemeji. Sijui tutacheza lini tena lakini naamini tutapigwa tu. Nimegundua kumbe raha ya mpira ni kufungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]