Hahahahaha mchina leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtema kuni ni hatari,
Ukitekwa asubuhi unanawa maji yalowekwa pilipili,
Unakunywa maji yenye pilipili,
Mchuzi una pilipili nyingi sana,
Maziwa yana pilipili!
Unaoga maji ya pilipili!
Nilitekwa na binti mmoja ilikuwa hatari,
Mashuka yaliwekwa pilipili,
Uzuri tulipewa chumba chetu wawili tu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nimepigwa na weather yangu[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116]Mkuu hangaika na your weather. Hakuna namna !!!
karibia zotee ila ambazo nasikiliza kila siku ni Healer,in control,elohim,all i need is you,i surrender na behold then sing my soulAisee hawa jamaa nawaelewa sanaaaa
favorite song yako ni ipi?