Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3417.JPG
 
Mtema kuni ni hatari,
Ukitekwa asubuhi unanawa maji yalowekwa pilipili,
Unakunywa maji yenye pilipili,
Mchuzi una pilipili nyingi sana,
Maziwa yana pilipili!
Unaoga maji ya pilipili!

Nilitekwa na binti mmoja ilikuwa hatari,
Mashuka yaliwekwa pilipili,
Uzuri tulipewa chumba chetu wawili tu.



Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mchina hatimaye ameanza kufunguka. Chumba chenu wawili na binti na mipilipili yote hiyo mbona kasheshe hasa ukizingatia kuwa mwenzio has an open system. Pole sana na hongera kwa kutupa angalau fununu ya huyu mtemakuni !!!
 
Back
Top Bottom