HahahahahaMkuu, naomba ratiba ya Aseno kama unayo. Ndiyo timu yangu kwa sasa mpaka nitakapopata timu nyingine ya kuniburudisha kama Aseno. Shukrani mkuu !!!
Hahahahaha
HahahahaKabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha nitafute team na mimiCarba, tafuta timu ya kushabikia na wewe shemeji. Mimi Bob12 amenikonvisi kabisa mpaka nimekuwa shabiki halisi wa Aseno. Ni raha sana shemeji. Sijui tutacheza lini tena lakini naamini tutapigwa tu. Nimegundua kumbe raha ya mpira ni kufungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]