myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:31
Uzi huu ni hatari kwa charge ya simu yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Carba, tafuta timu ya kushabikia na wewe shemeji. Mimi Bob12 amenikonvisi kabisa mpaka nimekuwa shabiki halisi wa Aseno. Ni raha sana shemeji. Sijui tutacheza lini tena lakini naamini tutapigwa tu. Nimegundua kumbe raha ya mpira ni kufungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
22:3220:40
AMUN RA