Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushirikiano wa Familia

Wazazi fulani wamewawekea watoto wao sheria na kuwazoeza kwamba kila mara kabla ya kutoka katika vyumba vyao asubuhi ili kwenda shuleni, wanapaswa kutandika vitanda, kuweka nguo chafu mahali panapofaa, na kupanga vitu vyao vingine. Sheria inayofaa ni, “Kila kitu kina mahali pake na basi kila kitu kinapaswa kuwekwa mahali pake.”
 
IMG_3678.PNG
 
Ushirikiano wa Familia

Wazazi fulani wamewawekea watoto wao sheria na kuwazoeza kwamba kila mara kabla ya kutoka katika vyumba vyao asubuhi ili kwenda shuleni, wanapaswa kutandika vitanda, kuweka nguo chafu mahali panapofaa, na kupanga vitu vyao vingine. Sheria inayofaa ni, “Kila kitu kina mahali pake na basi kila kitu kinapaswa kuwekwa mahali pake.”
 
Pia, watu fulani katika familia wanaweza kugawiwa kazi au eneo hususa liwe sehemu yao ya kusafisha. Kwa mfano, je, baba huhakikisha gereji imepangwa na kusafishwa kabisa angalau mara moja kwa mwaka? Je, mtoto mmoja anaweza kumsaidia? Nani huhakikisha kwamba hakuna magugu au nyasi ndefu mbele ya nyumba? Hilo linapaswa kufanywa mara ngapi ili kuhakikisha eneo la mbele la nyumba ni nadhifu? Je, nyumba ina dari au stoo inayohitaji kuondolewa vitu visivyohitajika na kupangwa vizuri? Ikiwa ndivyo, ni nani atafanya kazi hiyo? Wazazi wengine hugawia watoto kazi hizo, wakizibadili kwa zamu.
 
Kwa hiyo, panga ratiba nzuri ya kutunza nyumba yako. Iwe utasafisha nyumba mwenyewe au pamoja na familia yako au utahitaji kumwajiri mtu akusaidie, ni muhimu kuwa na ratiba nzuri. Mama mmoja ambaye hudumisha nyumba yake ikiwa safi sana anatueleza jinsi familia yote hushirikiana kuisafisha: “Mimi na binti zangu watatu hugawana kazi za nyumbani. Norma Adriana husafisha sebule, vyumba viwili vya kulala, ua, na eneo la mbele la nyumba. Ana Joaquina hushughulika na jikoni. Mimi huosha nguo na kushughulikia mambo mengine, naye María del Carmen huosha vyombo.”
 
Una bahati! Hii niliiona kwenye Nightly News a couple of days ago! Kuna total eclipse nyingine, April 2024 watu wameshaanza kujipanga! [emoji16]
miwani hii hii mi ntaitunza tu kwa kweli. Tena nimechukua pea mbili I hope hazina expiry time...

2024 miaka ijayo. Tuombe Mungu Atufikishe huko !!!
 
Sura Nzuri Nje ya Nyumba

Namna gani nje ya nyumba? Iwe unaishi katika nyumba kubwa au katika nyumba ya hali ya chini, unahitaji kuwa na ratiba ya kusafisha na kudumisha usafi wa nje. Kwa mfano, lango katika ua wa nyumba linaweza kung’oka bawaba moja. Lango hilo litaonekana vibaya ikiwa halitarekebishwa. Pia kutaonekana vibaya ikiwa takataka zitaachwa zirundamane kwenye mwingilio wa nyumba au kwenye vijia vya karibu. Nyakati nyingine pia, mikebe na vitu vingine huachwa nje ya nyumba na vinaweza kuwa makao ya wanyama na wadudu waharibifu.
 
Back
Top Bottom