Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
N359
Nashukuru Mungu anaendelea vizuri.Ahsante kwa maombi yenu[emoji120] [emoji120] [emoji120]Eeehh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha niemdelee kulia[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Habr za kuadimika?pole n majukumu
Mgonjwa anaendeleaje?
[emoji23][emoji23][emoji23]anavichwa vingapi??hebu ninong'oneze basi[emoji101] [emoji101] [emoji101]Kuna vitu kadanganywa huyo si bure,
Anasema atakufuta machozi yako kwa kichwa?
Pole sana maana hakitakomea kichwa kimoja ni vichwa vingi tu,
Na anapiga vichwa sana huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kurudi kuwa yai na mimba inatungwa bahati mbaya mama anafanya abortion [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli tupu! So far wanasayansi wanasema ni kwenye Black Holes pekee ndiko muda hukoma; na ukweli kwamba "the arrow of time always goes forward" bado ni siri kubwa ambayo bado hawajajua sababu yake. Kwa maoni yao hakuna sababu ya msingi inayofanya muda usiweze kwenda kinyume nyume. Na siku wakigundua siri hii wuhuuu! Watu wataweza kuishi milele kwa sababu itakuwa rahisi mtu ukigonga miaka 90 basi una-reset tu na unarudi kwenye 20s na maisha yanasonga. Ni dhana ya time machine hii iliyotabiriwa na baadhi ya makalikyulesheni ya Einstein mwenyewe. Tatizo kubwa na pengine hatari kubwa ya dhana hii ni pale mtu utakapojisahau na ku-rest vibaya ukarudi nyuma zaidi mpaka wakati ambao kwa mfano babu yako bado hajakutana na bibi yako. What will happen then? Will you annihilate yourself completely?
Wanasayansi bwana...Nawapenda sana !!!
Shemeji kipenzi[emoji23][emoji23][emoji23]hujui kama huyu ni kaka wa ColeKipenzi
Amina[emoji120][emoji120]Nashukuru Mungu anaendelea vizuri.Ahsante kwa maombi yenu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mchina umeanza mambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NjemaHabari za mida hii wadau wa likes
NjemaHabari za mida hii wadau wa likes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, unapambana dhidi ya namba na wewe umeanza namba? Uzi pendwa huu haujawahi kumuacha mtu salama...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]