Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bob12, wimbo mzuri wenye kutonesha moyo na milizamu za fikra na hisia zako huu hapa. What a dedication [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15].
 
Kwa kawaida kinga ya mwili huulinda mwili dhidi ya vitu mbalimbali vyenye kuleta athari kwa afya kama vile vimelea vya magonjwa kama vile bakteria na virusi, lakini wakati mwingine pia na vitu ambavyo havina madhara yoyote kwa mwili, ambavyo huitwa allergens (mzio).
Mtaalamu wa dawa na tiba kutoka hospitali ya Sanitas, Dk Sajjad Fazel anasema aleji au mzio (allergy) ni matokeo ya kinga ya mwili inapofanya kaz
 
ya ziada ya kupambana na kitu chochote ambacho kwa ujumla huwa hakina madhara kwa mwili pale inapotokea kimeingia ndani ya mwili au kimegusa sehemu fulani ya mwili.
“Kinga ya mwili inapoamua kufanya kazi ya ziada husababisha mtu kuwa na dalili za aleji au mzio katika mwili wake kwa kuona dalili mbalimbali”, alisema Dk Fazel.
Vitu vinavyosababisha mzio
Dk Fazel anasema baadhi ya vitu vinavyosababisha mzio ni pamoja na vumbi, baadhi ya
 
Back
Top Bottom