Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naamini katika kufungwa ndiyo kuna raha ya ushabiki wa kweli. Wakianza kushinda tu au wakimtimua Wenga nami nasepa na kutafuta timu nyingine yenye jina japo kibonde. Tatizo hata timu zenyewe sizijui vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mshabiki mzuri sana yaani unafurahia kufungwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]