Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sababu za kutokea ugonjwa huu bila kuhusisha ongezeko la presha jichoni bado hazifahamiki. Tafiti chache zilizofanyika zinaonesha zinabainisha upungufu wa damu kwenye mshipa wa optiki unaoua chembehai zinazokosa virutubisho na hewa safi.