Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mirija iliyozibwa hufanyiwa upasuaji mdogo kuizibua ili kuruhusu maji yaliyozidi jichoni kutoka. Matibabu ya glaucoma huwa ni ya muda mrefu kwa sababu tatizo huendelea kuwapo kwani haliponi kabisa.
 
Mgonjwa wa glaucoma wa kuziba kwa mirija hupewa dawa na kufanyiwa upasuaji wa kuondoa maji yaliyoongezeka jichoni. Upasuaji huu hufanywa kwa kutoboa sehemu ya ukuta wa mbele wa jicho.

Madhara

Kama matibabu hayatopatikana kwa wakati na kupunguza shinikizo lililopo jichoni, madhara kwenye mshipa wa optiki huongezeka ambayo huweza kusababisha mgonjwa kupoteza uwezo wa kuona. Yakichelewa zaidi, mgonjwa anaweza kuwa kipofu.
 
Upofu utokanao na glaucoma hautibiki hivyo mgonjwa hupata ulemavu wa kudumu kwa maisha yake yote yaliyobaki.

Namna pekee ya kujikinga na madhara ya tatizo hili ni kwa kuligundua mapema kwa kufanya vipimo vya macho na uwezo wa kuona mara kwa mara ili kuepuka upofu wa kudumu.
 
Waliohatarini

Makundi mbalimbali ya watu wapo katika hatari ya kupata ugonjwa huu, mafano wazee wenye umri zaidi ya miaka 50 wapo kwenye hatari ya kupata maradhi haya kwakuwa uwezekano huo huongezeka kadri umri unavyosogea.

Wenye ngozi nyeusi pia. Tafiti zinaonesha Waafrika au watu weusi wapo katika hatari ya kupata maradhi haya kuliko watu wenye ngozi nyeupe.
 
Miwani ilikuwa inauzwa 99 cents - $15 kutegemea na design. Tena kwenye gas stations tu. Amazon huko pia ilikuwepo ya kutupwa. Problem watengenezaji hawakutengeneza mingi. Hapa katikati media wakaanza kupiga debe kuwa total eclipse hii ni ya mwisho kwa kila aliyeko hai kwa sababu nyingine ingetokea baada ya miaka 99. Basi ikawa ni event kubwa ambayo ilikuwa lazima kila mtu aone. Glasses za 99 cents zikaanza kuuzwa 10 bucks na kuendelea. Hoarders na price gaugers wamepiga hela nzuri. Wengine walipoona upungufu wakaanza kutengeneza za kwao feki na kuziuza haraka haraka mtandaoni. Dogo mmoja kapiga $30,000 kwa kuuza basically plastic nyeusi tu akidai ni NASA certified glasses. Waliozinunua na kuzitumia tayari macho yanawauma na moto umeanza kumwakia sijui itakuwaje.

Hizi ni opportunity zinazokuja bila kutegemewa na wenye jicho la ndani ndo wanaweza kuziona.

Pamoja na demands yote hii public library nyingi zilikuwa na stock ya miwani 500 kila moja na anayewahi kabla hazijaisha anapatiwa bure. Mwenyewe nilikwenda kwenye library nikapiga mstari nikapata tena pea mbili. Hakuna kusukumana wala nini.
Lakini nakumbuka tukio la mbeya la kupatwa kwa Jua watoto wa shule walitumia mpka zile negative za picha kushuhudia tukio sijasikia adhari zozote
 
Wenye historia ya maradhi ya macho mara kwa mara au waliowahi kujeruhiwa jicho wana hatari ya kupata maradhi haya pia.

Kwa kuwa maradhi haya hurithika, watoto toka familia zenye historia hii wapo kwenye hatari hiyo pia tofauti na aliyetoka kwenye familia isiyo na historia ya maradhi haya.
 
Maradhi ya muda mrefu yanayoathiri mfumo mfano shinikizo la damu na kisukari huongeza hatari hiyo kutokana na uwezekano wa kuongezeka kwa shinikizo la macho.

Zipo aina kadhaa za maradhi haya kulingana na sababu zake kama zinavyoainishwa kwenye makala haya.
 
Kuziba kwa mirija

Ipo glaucoma ambayo hutokea baada ya mirija ya aqueous humour kuziba hivyo kuongeza presha ndani ya jicho na kusababisha maumivu makali na kichefuchefu kwa mhusika.

Kama unahisi dalili za kushindwa kuona vizuri kunakoambatana na kuumwa kichwa na kusikia kichefuchefu nenda hospitali ili wataalamu wa macho waangalie kama chanzo ni kuziba kwa mirija ili kuokoa uwezo wa jicho kuendelea kuona.
 
IMG_1618.jpg

Hivi vitu vingine hata my wife wako akikubamba anakusamehe tena bila masharti! [emoji3]
 
Kuziba kwa mirija

Ipo glaucoma ambayo hutokea baada ya mirija ya aqueous humour kuziba hivyo kuongeza presha ndani ya jicho na kusababisha maumivu makali na kichefuchefu kwa mhusika.

Kama unahisi dalili za kushindwa kuona vizuri kunakoambatana na kuumwa kichwa na kusikia kichefuchefu nenda hospitali ili wataalamu wa macho waangalie kama chanzo ni kuziba kwa mirija ili kuokoa uwezo wa jicho kuendelea kuona.
 
Kutoziba kwa mirija

Aina hii ya maradhi ya glaucoma hutokana na sababu nyingine lakini siyo kuziba kwa mirija maalumu inayotoa aqueous humour jichoni. Aina ni ngumu kuitambua na hutokea kwa watu wengi zaidi.

Kutoona vizuri kwa wenye aina hii ya glaucoma huanza taratibu na mara nyingi huwa vigumu kwa mwenye tatizo kujitambua. Wengi hupoteza uwezo wa kuona kwani dalili zake huonekana baada ya mshipa wa optiki kuathirika.
 
Kuzaliwa nayo

Wapo wanaozaliwa na maradhi haya. Hii hutokana na upungufu kwenye mirija ya kutolea aqueous humour hivyo kujaa na kusababisha madhara haya.

Watoto wanaozaliwa na tatizo hili huwa na macho yaliyojaa matongotongo au ukungu. Wakati mwingine macho yao hutoa machozi kuliko kawaida na kushindwa kuangalia kwenye mwanga.
Mara nyingi, aina hii hurithishwa hivyo hutokea kwenye familia zenye historia ya maradhi haya.
 
Matatizo mengine ya afya

Presha ya macho pia huweza kusababishwa na maradhi mengine ya afya mfano ajali iliyohusisha macho au dawa za kutibu maradhi mengine ya mwili. Inaweza kuwa saratani ya jicho, mtoto wa jicho au upasuaji wa jicho ambao haukufanyika vizuri.

Wakati mwingine maradhi haya hayasababishwi na madhara ya kuongezeka kwa presha ndani ya jicho ingawa hutokea kwa watu wachache.
 
Back
Top Bottom