carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongera eehI turned 19 yesterday! I got two more years to start having an adult beverage in public! [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongera eehI turned 19 yesterday! I got two more years to start having an adult beverage in public! [emoji3]
Miwani ilikuwa inauzwa 99 cents - $15 kutegemea na design. Tena kwenye gas stations tu. Amazon huko pia ilikuwepo ya kutupwa. Problem watengenezaji hawakutengeneza mingi. Hapa katikati media wakaanza kupiga debe kuwa total eclipse hii ni ya mwisho kwa kila aliyeko hai kwa sababu nyingine ingetokea baada ya miaka 99. Basi ikawa ni event kubwa ambayo ilikuwa lazima kila mtu aone. Glasses za 99 cents zikaanza kuuzwa 10 bucks na kuendelea. Hoarders na price gaugers wamepiga hela nzuri. Wengine walipoona upungufu wakaanza kutengeneza za kwao feki na kuziuza haraka haraka mtandaoni. Dogo mmoja kapiga $30,000 kwa kuuza basically plastic nyeusi tu akidai ni NASA certified glasses. Waliozinunua na kuzitumia tayari macho yanawauma na moto umeanza kumwakia sijui itakuwaje.Tuelezee eclipse za jana huko
Maana kuna mwanamke kawa milionea kwa kutengeneza miwani ya eclipse!
Opportunist indeed walahi
Hahahaha
Nani kasema?Eti wewe ni anda eitini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16] [emoji16]
Ayaya yaya yaaaaaaa! Ng'ombe wote 100 hapa wanapigwa tena laivu kabisa. Shemeji acha utani please !!!View attachment 572540Cc:anajijua mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unafukua makaburi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti wewe ni anda eitini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasaikolojia walishafanya mkuu. Kwenye ma-journals huko...Umefanya utafiti
Kwangu yalikuwa godi kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Boarding school ni maisha ya stress sitaki hata kusikia unajikuta una panic [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilifikiri inanihusu mimi. Ngoja nipige lijibapa hapa kwa kujishtukia bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nini limetupwa gizani SYB..... sidhan kama inamuhusu yoyote huku ndani😉🙂