Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Fomu tajwa ni za 32A, 32B & 32C
Mgonjwa wa glaucoma wa kuziba kwa mirija hupewa dawa na kufanyiwa upasuaji wa kuondoa maji yaliyoongezeka jichoni. Upasuaji huu hufanywa kwa kutoboa sehemu ya ukuta wa mbele wa jicho.
Madhara
Kama matibabu hayatopatikana kwa wakati na kupunguza shinikizo lililopo jichoni, madhara kwenye mshipa wa optiki huongezeka ambayo huweza kusababisha mgonjwa kupoteza uwezo wa kuona. Yakichelewa zaidi, mgonjwa anaweza kuwa kipofu.
![]()
Usisahau hii kitu kuonyesha Numbisa anaeleweka kwenye somo lake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanawake ni rahisi sana kuelewa somo shida wababaHahaa... I wish wangekuwa wanaelewa kirahisi namna hii! [emoji3]