Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anasema mara nyingine wanapopima damu huangalia ongezeko la immunoglobin E ambayo huashiria uwapo wa vitu vinavyosababisha aleji na kipimo cha damu chenye kuonesha ongezeko la eosinophil iwapo kuna aleji, ambayo ni sehemu ya chembe nyeupe za damu.
Matibabu
Shambulio kali la aleji linaweza kusababisha mhusika kulazwa hospitali na lisipodhibitiwa, kifo
 
kinaweza kutokea kutokana na kupata shida katika upumuaji wake, lakini hii hutokea mara chache kwa wagonjwa wenye mzio katika chakula na mfumo wa hewa.
Anasema tiba kubwa ni kupunguza uwezekano wa kupata aleji kwa kutambua na kuepuka kitu au vitu vinavyokusababishia hali hiyo.
 
Kama ni chakula au dawa au kemikali, mgonjwa anatakiwa kuepuka kabisa matumizi yake, na kama ni vumbi ajitahidi kukaa nalo mbali”, anasema Dk Fazel
Anasema zipo pia aina mbalimbali za dawa zinazotumika kutibu na kuzuia aleji, kulingana na jinsi daktari atakavyoona inafaa kwa kuzingatia ukali wa tatizo, dalili zake azipatazo mgonjwa, umri wa mgonjwa pamoja na hali yake ya kiafya kwa ujumla.
 
Anasema pia wagonjwa hawa hupewa dawa maalum kwa ajili ya kutuliza mcharuko mwilini ambazo huwa katika miundo mbalimbali zikiwamo za kupaka, matone, kuvuta, sindano au vidonge.
Kwa wale wenye mafua na kuziba kwa pua, hushauriwa kutumia dawa zinazosaidia kufungua pua, hata hivyo, dawa hizi hazina budi kutumiwa kwa uangalifu hasa kwa watu wenye magonjwa ya shinikizo la damu au moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…