Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Matibabu ya jino lililotoboka hutegemea hali yake wakati daktari anapoliona na kulichunguza kitaalamu kisha kushauriana na mgonjwa husika au mzazi endapo ni mtoto. Katika hatua za mwanzoni kabisa daktari huweza kuliziba jino lililoanza kutoboka kwa kuweka dawa maalumu iitwayo fluoride varnish ili kulisaidia kurudisha madini yaliyopotea
 
Screenshot_2017-08-22-20-47-16.png
 
Back
Top Bottom