Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Hahahaaa.. Bado tu kufukiwa hao.
Hii km Mbeya hivi.?
Hapa mchuzi mwingi. Hata ukichovya ugali unayeyuka ndani.
AMUN RAfuraha na amani
Daaah mweeeh [emoji39] [emoji39]
Haitegemei na aina ya mwili?Kama ni kutembea umbali unaopendekezwa kitaalam ni kilomita 2 kwa siku. Mazoezi mepesi yana ufanisi zaidi kama yakifanywa nyakati za jioni au asubuhi.