Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3606.JPG
 
Kama ilivyoendelea kuelezwa na serikali kuwa kutakuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi kila Jumamosi ya pili ya mwisho wa mwezi. Ninafahamu wengi wanaweza kujitokeza lakini je wanajua ni kwa muda gani wafanye mazoezi yawe ya aina gani.
 
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zimebaini kuwa mazoezi mepesi ndiyo yanayochangia watu kuishi maisha marefu zaidi. Hii ni hutokana na mazoezi haya kumuepusha mtu na magonjwa ya moyo, kisukari, shinikizo la damu na unene uliopitiliza.
 
Back
Top Bottom