Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkazo na kupanda kwa shinikizo la damu, ni vitu vinavyoendana katika maisha ya binadamu. Ndiyo maana ili kudhibiti magonjwa hayo, mhusika hushauriwa kwanza kudhibiti hali yake ya mkazo. Kituo kimoja cha matibabu ya akili kilichopo nchini Uingereza, kinaeleza kwamba katika kila kundi la watu watano ulimwenguni, mtu mmoja hukumbwa na maradhi ya mkazo, yanayotokana na mazingira ya mahali pake pa kazi
 
Kwa mujibu wa taarifa hizo, kushindwa kukabiliana na hali hiyo ya mkazo mwingi, mtu mmoja kati ya watu wanne, hujikuta akilia peke yake bila kupigwa wala kukasirishwa na yeyote, akiwa kazini kwake.

Hali hiyo inatokana na ukweli kwamba mwanadamu ameumbwa kwa njia ya kipekee kabisa, kwa kuwekewa mifumo mbalimbali mwilini inayofanya kazi mbalimbali usiku na mchana ili tu kumweka vizuri na salama katika maisha yake.
 
Kwa mfano, mwanadamu amewekewa mfumo wa hisia za dharura, ambao ni kichocheo kikuu cha mwili pindi mwanadamu huyu anapopatwa na mkazo mwingi.

Vichocheo hivyo, ndivyo vinavyomfanya binadamu huyo anapopatwa na hali hiyo aweze kupumua haraka, moyo wake
 
uende mbio na hali inayochangia kuongezeka kwa shinikizo la damu. Vichocheo hivyo, ndivyo huongeza chembe za damu na sukari kwenye damu.

Kwa kawaida, mfumo huo wa hisia za dharura unafanya kazi kubwa ya kumtayarisha mwanadamu kukabiliana na kitu chochote au mtu yeyote anayemsababishia hali hiyo ya mkazo.
 
Hata hivyo, baada ya jambo hilo linalosababisha mkazo kupita, mwili hurudi katika hali yake ya kawaida, ingawa baadhi ya wataalamu wanaweka wazi kuwa endapo hali ya hisia za dharura inajirudia mara kwa mara, mtu anaweza akakumbwa na ugonjwa mwingine wa hofu au wasiwasi, ambao kitaalamu unajulikana kama ‘Anxiety Disorder’.
 
Kwa hiyo, kwa kila binadamu ni muhimu kujifunza mbinu za kukabiliana na maradhi hayo ya mkazo na kupanda kwa shinikizo la damu.

Njia 10 kuepuka ‘stress’

Kwa sasa zipo njia kuu rahisi 10 za kukabiliana na hali hiyo: Mosi, ni kuhakikisha unapata muda wa kutosha wa kulala usingizi. Kutopata usingizi wa kutosha kunaathiri hisia, akili, kiwango cha nishati mwilini pamoja na
 
Kwa maneno mengine, binadamu anatakiwa kufikiri jinsi ya kurahisisha maisha yake, pengine kwa kupunguza gharama za maisha pamoja na kupunguza muda anaotumia kazini kwake.

Tatu, jifunze mbinu za kupumzisha mwili. Kutafakari kwa kina, mazoezi ya kuvuta pumzi na yoga ni njia imara za kuondoa mkazo.
 
Nne, mtu inampasa kuimarisha mtandao wake wa kijamii. Kujiunga na vikundi mbalimbali kama vile vya masomo, kutoa misaada kama vile kwa watoto, yatima na wajane au vikundi vya wajasiriamali.

Mwaka 2008, baadhi ya watafiti raia wa Uingereza waligundua njia moja ya kubaki imara pindi mtu anapopatwa na mkazo. Katika utafiti wao, wanasema moja ya njia ya kubaki imara, ni kujitolea kuwasaidia wengine kwa njia fulanifulani.
 
Tano, mtu inampasa kuelewa vizuri hisia za wengine, kitu kitakachosaidia kupunguza hasira, na wakati huohuo awe mwepesi kusamehe kwa kuwa ni jambo jema pia kimaisha.

Utafiti uliofanywa mwaka 2001 nchini Uingereza, ulionyesha kuwa mtu anapokuwa na kinyongo fulani kwa mtu, humsababishia kupanda kwa shinikizo la damu pamoja na kuongezeka kwa mapigo ya moyo. Hali hiyo, kwa mujibu wa utafiti huo, inaweza kuondolewa kwa mtu kuwa mwepesi wa kusamehe haraka.
 
Sita, kwa gharama yoyote, mtu anatakiwa kujiepusha na ugomvi wa aina yoyote ile. Kugombana na wengine kunaweza kumletea au kumsababishia mtu mkazo mwingi. Mtu anapokuchokoza, jitahidi kutulia, usimwage ugali kwa kuwa yeye kamwaga mboga. Inashauriwa kujitenga naye kwa kukaa faragha, hivyo kusuruhisha mambo kwa hekima na busara nyingi.
 
Kumi, ni kuondokana na woga wa kuomba msaada kwa jamaa na marafiki au majirani. Baadhi ya tafiti zinaonyesha kwamba kuzungumza na marafiki au watu wa familia kuhusu hali inayokupata, husaidia kuondoa ugonjwa wa mkazo. Inashauriwa endapo mkazo na hali ya wasiwasi itaendelea, ni muhimu kutafuta msaada zaidi kwa daktari.
 
FAIDA ZA PAPAI

1. Kuua na kuondoa mazalia ya minyoo mwilini.

2. Kusaidia kutibu vidonda vya tumbo.

3. Kuboresha mmeng’enyo wa chakula.

4. Majani yake huleta ahueni kwa wagonjwa wa saratani.

5. Kupunguza uvimbe (anti-inflammatory).

6. Kuboresha misuli na neva mwilini.

7. Kusaidia kumeng’enya protini.

8. Kuboresha kinga ya mwili.

9. Kuboresha macho.

10. Kuboresha mfumo wa hewa
 
Back
Top Bottom