[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cha hesabu...Itabidi nichelewe kipindi cha kwanza!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ni kwa kipindi cha kampeni ya uchaguzi wa raisMh! Huyu hapana Mkuu lol!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cha hesabu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siasa kilikuwa kuanzia saa nane. Asubuhi ilikuwa ni hesabu,english, kiswahili then breakHapana, cha Siasa! Hesabu ni kipindi changu pendwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120]Aisee, wewe lala bana! Sisi washika tunguli la JF bado tupo sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siasa kilikuwa kuanzia saa nane. Asubuhi ilikuwa ni hesabu,english, kiswahili then break
Mwalimu ni mmojawapo wa wanafalsafa wa Kiafrika waliokuwa na kipaji cha hali ya juu sana. Namheshimu sana kwa jinsi alivyoamini kabisa kabisa katika mawazo yake na alichokuwa akijaribu kukifanya. Azimio la Arusha na Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea zilikuwa nguzo zake kuu za kinadharia na kivitendo. Siyo hawa viongozi wa sasa wanasema hichi halafu wanatenda hichi. Alikuwa kiongozi wa aina yake !!!![]()
Shimba ya buyenze.Kuna kitu cha kujifunza hapa
Tuko pamoja mkuu. We are family !!!BAK
moudgulf
Cole Williams
Kichwa Kichafu
HARUFU
carba
jakitoo
Numbisa
ISIS
mzee wa liver
Shimba ya Buyenze
Mark Msue
Baby doll
nsamaka
myoyambendi
ho chi Minh
uniq
espy
demi
babe S
Jovitha
Bob12
Marcus Kelvin
Yegomasika
Ruta
Kacnia
Numbisa
Cleverking
My family,the best friend of mine....more to come