Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

25573538be66a2dd97dafe58bee7ec5d.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usingizi umekata,kazi imegoma.....kisa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mh! Are you serious Mkuu SYB?
Kuna kifo cha memba wa JF kiliwekwa juzi juzi hapa kikaleta utata kwa sababu walikataa kutaja jina la marehemu alilokuwa akitumia hapa JF kwa kisingizio kwamba marehemu alikuwa mtu wa kitengo. Watu wengi walijitokeza na kusema kwamba pengine jina lake hapa JF lilikuwa hilo. Wengi tulisikitika sana na kuomba kwamba isiwe kweli. Cha ajabu ni kwamba tangu wakati huo huyu jamaa hajajitokeza wala kupost cho chote, jambo ambalo halikuwa kawaida yake. Wengi wameanza kuamini kwamba pengine ni kweli alikuwa yeye. Akijitokeza hata leo watu wengi tutafurahi sana. Alikuwa hana makuu wala hakuwa na mambo ya kugombana na watu. Tumuombee !!!
 
Mwanadamu anakabiliwa na changamoto mbalimbali kama vile za kiuchumi, kiafya na kijamii. Changamoto zote hizo huongezeka pindi mwanadamu anapofikia umri wa utu uzima, kwa maana ya kubebeshwa majukumu ya kimaisha, kama vile kusaidia wanafamilia, wanaukoo na jamii kiujumla.

Hata hivyo, changamoto kubwa za kiafya zinazomkabili mwanadamu huyu, karibu kote ulimwenguni ni ugonjwa wa
 
mkazo, ambao umezoeleka kwa wengi kama ‘stress’ ambazo zinaweza kumfanya mtu kupatwa na shinikizo la damu.

Baadhi ya vitu vinavyosababisha ugonjwa huu wa mkazo kwa mujibu wa wataalamu wa afya ni hofu au wasiwasi, kuhusiana na jambo lolote linaloweza kumkumba mwanadamu, hasa ukosefu wa fedha au kutamani utajiri ambao hajui ataupataje.
 
Pia, ratiba za shughuli za kiuchumi na huduma zenye mambo mengi yasiyokuwa na mpangilio huweza kumsababisha ugonjwa huo mwanadamu. Jambo jingine ni ugomvi usiokwisha ndani ya familia, kukumbana na matukio ya kutisha kama vile ya ugaidi na kadhalika.

Watu wengi ulimwenguni wamezoea kutumia kilevi, kama vile pombe, tumbaku na vileo vingine ili kukabiliana na maradhi hayo ya mkazo na kupanda kwa shinikizo la damu.
 
Hali hiyo, inatokana na wengi wao hao kushindwa hata kula vizuri, huku baadhi yao wakilazimika kutumia muda mwingi kuangalia matukio katika televisheni au kutumia vifaa vya kielektroniki kama vile kompyuta na simu za mkononi kwa muda mrefu ili kujisahaulisha na msongo wa mawazo kichwani.
 
Back
Top Bottom