Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli mkuu.Hakuna uzi wenye watu wenye upendo kama huu.Naamini nimepata ndugu wengi humu,nina uhakika wa usalama wangu kokote nitakako enda. Nikisema naenda koromije ya majuu-shimba,koromije orijino-Numbisa,Idodomya-mzee wa ini, mlima mrefu-myoyambendi,A town-Mark Msue,Tanga-mwanafunzi uniq, Shy-nsamaka,Temeke-moudgulf,carba,Masaki-ISIS.
Waaow
 
20837811_1722253711403511_1244836742498877440_n.jpg
 
Back
Top Bottom