Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee wa Tukuyu bado upo?
198a92b54556debb50f0b67712bcf089.jpg
 
Tunajaribu kuufanya uzi huu uwe kama buffet tena ya kimataifa. Utani, picha, NAMBA, michezo na maarifa mbali mbali ya kila aina. Kila mmoja na lwake.

At a personal level kwangu mimi nachukulia kila kitu hapa kama utani. So ikitokea nikamkwaza mtu ni afadhali aseme tu na tunasonga mbele. So far sijawahi kufurahia uzi wo wote hapa JF kama uzi huu. Asanteni nyote!!!
Ni kweli mkuu.Hakuna uzi wenye watu wenye upendo kama huu.Naamini nimepata ndugu wengi humu,nina uhakika wa usalama wangu kokote nitakako enda. Nikisema naenda koromije ya majuu-shimba,koromije orijino-Numbisa,Idodomya-mzee wa ini, mlima mrefu-myoyambendi,A town-Mark Msue,Tanga-mwanafunzi uniq, Shy-nsamaka,Temeke-moudgulf,carba,Masaki-ISIS.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hadi wewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Milonge haijawahi kumuacha mtu salama baby..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja nikakutafutie kwetu ipo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ..... bye see u tomorrow SYB[emoji8]
 
Tunajaribu kuufanya uzi huu uwe kama buffet tena ya kimataifa. Utani, picha, NAMBA, michezo na maarifa mbali mbali ya kila aina. Kila mmoja na lwake.

At a personal level kwangu mimi nachukulia kila kitu hapa kama utani. So ikitokea nikamkwaza mtu ni afadhali aseme tu na tunasonga mbele. So far sijawahi kufurahia uzi wo wote hapa JF kama uzi huu. Asanteni nyote!!!
Word
KILA KITU IN MODERATION
 
Ngoja nikakutafutie kwetu ipo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ..... bye see u tomorrow SYB[emoji8]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Ni kweli mkuu.Hakuna uzi wenye watu wenye upendo kama huu.Naamini nimepata ndugu wengi humu,nina uhakika wa usalama wangu kokote nitakako enda. Nikisema naenda koromije ya majuu-shimba,koromije orijino-Numbisa,Idodomya-mzee wa ini, mlima mrefu-myoyambendi,A town-Mark Msue,Tanga-mwanafunzi uniq, Shy-nsamaka,Temeke-moudgulf,carba,Masaki-ISIS.
Word
Huu uzi kwa kweli ni mzuri kwa afya pia maana ukiwa na mastress ya biashara unaingia kwenye uzi na kusoma comments za wandugu na kucheka ...keep it up!
Masaa ya wanga..,vipi niendelee na HORROR PART OF THE UZI AU?
Maana sitaki kuwa kwaza ndugu zangu!
Remain blessed my friends and take care!
 
Back
Top Bottom