Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha
lazima nimwambie tumepata shabiki mpya mwenye mizuka hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wenye mizuka siyo wale hooligans? Mimi ni opposite kabisa. Mi nataka tufungwe tu basi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesahau mlonge tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weka akiba Jumapili utumie mapema maana lazima tuwapige tu
Nani anauza milonge hapa jukwani. Najua kuna wauzaji wa maparachichi, nyanya, ng'ombe n.k. Milonge ni nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
03d7cd72a65d5112ff851a8b23089f39.jpg

Usiku huu
Aiiiiiii !!! Kwa kweli ni kutafuta milonge tu kwa sababu hakuna namna !!!
 
Back
Top Bottom