Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Sepenga[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wema upi
Sepenga[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wema upi
23:1222:30
Huddersfield townPamoja Hilo litakuwa chama letu
Sina nenoHawajui maana ya mahaba hawa
Kama mirinda nyeusiLikes za usiku tamu
Kabisa kabisaTunajaribu kuufanya uzi huu uwe kama buffet tena ya kimataifa. Utani, picha, NAMBA, michezo na maarifa mbali mbali ya kila aina. Kila mmoja na lwake.
At a personal level kwangu mimi nachukulia kila kitu hapa kama utani. So ikitokea nikamkwaza mtu ni afadhali aseme tu na tunasonga mbele. So far sijawahi kufurahia uzi wo wote hapa JF kama uzi huu. Asanteni nyote!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hisani ya Numbisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mlonge... Nikutakie utafutaji mwema wa mlonge Shemeji yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
23:1422:33
HahahahaUmesahau mlonge tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weka akiba Jumapili utumie mapema maana lazima tuwapige tu
Siyo kweli...Hardworking...Focused...Not a procrastinator...kumbe nlikuwaga legend[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
OK my loveLuther King
Black American
Na kwako pia Rutashubanyuma[emoji4]Usiku mwema
23:1522:33
AMUN RA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hisani ya Numbisa
Jisikie huru bageshi...Siku nikikosa kazi ntazikusanya hizi naenda zianzishia thread jukwaa la photos😀😀😀
HahahahaNa kwa kweli upite tu. Tena kamsalimie na Wenga huko uendako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]