Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemeji we na Andjul mtakuja kuniua jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mzigo kama huu inabidi uagize tani hata tano za mlonge. Na usipotokelezea front page ya magazeti ya Shigongo basi inabidi uende kwenu ukatambike. Safi sana !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
uvutano ungebadilika kwa uwiano wa 1:10, wanadamu wasingekuwapo. Uwiano wa 1:10 inamaanisha nini? Mwanamahesabu John Lennox anaelezea: Lifunike bara la Amerika kwa sarafu na kuzipanga kwenda juuhadi mwezini (umbali wa kilometa 380,000), Kisha fanya hivyohivyo kwa mabara mengine bilioni moja yanayolingana na bara la Amerika. Ipake rangi nyekundu sarafu moja kasha uiweke mahali katika moja ya yale marundo.
 
Mfunike rafiki yako macho na kumwambia aiokote ile sarafu. Uwezekano wake wa kuiokota ni 1 katika 10. Vipimo vingine vilivyowekwa kwa usahihi mkubwa angani, kama vile umbali kati ya dunia na jua, mwendokasi wa mzunguko wa dunia, kiasi cha nishati katika atom za kaboni, na kiwango cha kupanuka cwa ulimwengu, vilitakiwa view sahihi kabisa, vinginenvyo wanadamu wasingeumbwa. Wanasayansi wameuita uwiano huu wa
 
ajabu “anthropic concidence” – “anthropic” kutoka katika neon la kigiriki anthropos (“mtu”), na coincidences” kwa sababu, bila uwiano huo unaotatanisha akili, kusipokuwa na mwumbaji, zingekuwa kitu gani sasa?
Hata hivyo “coincidences” hizo zilikosewa sana kuitwa, zinasaidia kuthibisha mambo ambayo kitabu cha Mwanzo kinafundisha: Tunaishi katika viumbe vilivyokuwa vinatutarajia. Hoja hii ni muhimu kwa kuwa msingi wa
 
afya na furaha yetu kwa ujumla ni kutambua umuhimu na makusudi ya kuwepo kwetu. Mhanga wa mateso ya vita kuu ya pili na mtaalamu wa magonjwa ya akili Viktor Frankl alisema kuwa, kimsingi, sisi wanadamu hatuna budi kuona umuhimu wa kuwepo kwetu, vinginevyo tutaishi bila tumaini, na tumaini ni nyeti kwa uzima wa mwanadamu.
Kwa kifupi, Kitabu cha Mwanzo kinatuambia kuwa badala ya kuwa “mkusanyiko wa kemikali” kwenye uso wa
 
Back
Top Bottom