WaaowNi kweli mkuu.Hakuna uzi wenye watu wenye upendo kama huu.Naamini nimepata ndugu wengi humu,nina uhakika wa usalama wangu kokote nitakako enda. Nikisema naenda koromije ya majuu-shimba,koromije orijino-Numbisa,Idodomya-mzee wa ini, mlima mrefu-myoyambendi,A town-Mark Msue,Tanga-mwanafunzi uniq, Shy-nsamaka,Temeke-moudgulf,carba,Masaki-ISIS.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Numbisa..talalalaaa tatalala lalaalaaaaaa
Tunatofautiana. Mimi ndio naamka naenda tiziWana raha hao
Good morningGoodmorning