Weeee!!!nsamaka unamjua au unamsikia???Naona anataka ufe mapema hili arithi mapema shy
Hata mimi sijamuingiza popoteMy love kwenye list hayupo ujue
We Mzee
CantstopwontStop
Acha nipite kimya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe na wewe uneona eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyapia dahho chi minh mzee wa kunyapia nyapia wanafunzi
Nadhani mzee ya batoto [emoji276] alinizunguka,Akitoa jibu hapo
Nyapia dahho chi minh mzee wa kunyapia nyapia wanafunzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bangi unayotumia tena asubuhi hivi si njema kwa akili yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakusoma ndivyo walivyo[emoji23][emoji23][emoji23]anataka kujua kama yule binti alikuja humu,mzee anawivu huyu
Alikuwa korokoroniho chi minh ametoka kwa dhamana tu
Alikuwa korokoroniho chi minh ametoka kwa dhamana tu
Kichwa na ho chi minh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]My ndugu Nani na Nani tena wanajiachia???
CantstopwontStop
Wewe hauna?Binadamu anakuwaje na manyoya??
Siyapendi eeh[emoji17][emoji17][emoji17]
Kweli tupuHii stori yenu ya leo mmh
Inaelekea mlikuwa wote mahabusu kwa kesi moja ila wewe ukawahi kutoka kwa dhamana yeye akabaki
Endelea kumwaga ubuyu nipate stori kamili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upande wa pili aseno.Nyumba yenu ina mbwembwe nyie....
Wa mtoto???Mguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikimbia siku nakamatwa lakini akadakwa usiku kwa bi mdogo.Kakimbia tayari
Nyoka tena?Heeeee kambale tena?ngozi ka nyoka??[emoji20][emoji20][emoji20]