Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Nakujaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Njoo tule raha na Wenga wetu. Furaha ya kufungwa haimithiliki. Hutajuta !!!
Nakujaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Njoo tule raha na Wenga wetu. Furaha ya kufungwa haimithiliki. Hutajuta !!!
Namshukuru Mungu imeenda vizuri kabisaKwema kabisa ndugu yangu. Wewe sikh yako inaendeleaje?
Aisee, na mm ntaiga ili nifumukeNdo siri ya mabinti wa Kihaya kufumuka misambwanda!!!
Asante dada langu la nguvu. Huyo mzee hajaanza kukusumbua na safari zake zisizo na kichwa wala miguu?Kaka heshima yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana sumu huyo
Yanga
android phone
Nipo my princessMzee wa liver
Dimpoz....'nough said.Ommy Dimpoz
Ni ww, halafu kumbe bado hujamuacha tu carba?Wala mimi sikuwepo hapa...sijui atakuwa nani??
Hatimae shemeji umeonekana...Mateja wa likes, Jumatano inaendeleaje? Tumshukuru Mungu !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu ibariki simba.
Afadhali umefikaHata mm nipo pia.
Nasmaka mambo wifiHata mm nipo pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Anasema amekesha anakula milonge. Kumbe mke wala huna habari. Sasa sijui alikuwa anamlia nani...Enheeee nimekubamba na story zako. Umejichokea? Kwani ulikuwa unafanyaje?
Asante kaka.Karibu bageshi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa namba si ajabu akaanza kuwahesabu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]