ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mimi sikushiriki.Ni KK alimsema carba kuwa huko aliko lala anamuota KK hovyo hovyo,na hapo kwenye 'hovyo hovyo' ndipo palipo nifanya nisishiriki maongezi yake.Sio kwamba nina wivu,wallaaah!!Nishafika shemeji. Nafurahi kukukuta. Jana usiku KK na huyu mzee wa Tukuyu walikuwepo wanakuteta teta. Nilitamani machale yakucheze uamke uwachachafye kama unavyowachachafyaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]inaelekea anapenda kutekwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha tukurudishe ulipotoka kumbe kutekwa raha sana
Hata mm nipo pia.Carba kamu zisi wei [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hasa kakaako alikukumbuka sanaMissing you all
Ndo siri ya mabinti wa Kihaya kufumuka misambwanda!!!Protein za kufa mtu hapo
Mweh, semea pengine
Mzee wa namba si ajabu akaanza kuwahesabu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona Ruta mate yanamtoka
Wala mimi sikuwepo hapa...sijui atakuwa nani??Enheeee nimekubamba na story zako. Umejichokea? Kwani ulikuwa unafanyaje?
Heeeeee wivu tena? Kwa nani?Mimi sikushiriki.Ni KK alimsema carba kuwa huko aliko lala anamuota KK hovyo hovyo,na hapo kwenye 'hovyo hovyo' ndipo palipo nifanya nisishiriki maongezi yake.Sio kwamba nina wivu,wallaaah!!
Jamani hayo makaburi muyaache[emoji23][emoji23][emoji23]Nina data za hatari humu Leo usiku nitashusha nondo
Ni wenyewe...Naona rangi nyekundu ile chaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuona, nipo ujue
Karibu bageshi...Missing you all
Kaka? Ina maana ww hukunimis?Hasa kakaako alikukumbuka sana